Dingo wa ngotha!

November 14 2014 7:49am     0 256

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumekuwanga na madingo wa aina mob. Kama pinji, konii, wenye hutumia bunde ama machete, maklepto, na kadhalika. Wote hukuwa na goal ya kuget mkwanja mbio bila kuchokea.

Lakini kuna mjamo hatujatambua anatoshea kwa category niga, juu njaro zako ni tofauti kiasi. Na husuko Kodiak, Alaska, inasemekana kuna dingo wa mangotha.

Yaani analike sana kuburglar jakes za wasee na baada ya kusaka around, badala ya kukwachu vitu zile za value, anaendeanga panties za mambuus. Alafu pia kumbe akona taste mwenda juu yeseye huchukua za designer solo.

Ata madha mjanamo alidai hakuwa amenotice ngotha zake zimegoswa hadi venye alicheki kwa teli hii risto. Alirudi kugundua ngotha zake nira za $150 kutoka Victoria’s Secrets zimeenda missing.

Unadhani huyu msee anakinda hizo stuff amegosa ama anajiwekea? 

Related Stories