Hamilton akapenya na crown

October 13 2014 10:05am     0 1504

Photo Credit:Fomula 1.com   Tingua risto

Championships zenye zilikuwa zinaendelea husuko Russia za F1, ilibaki on Sunday Hamilton ndio amepenya na hisiyo crown.

Hisihi ikiwa win ya fotho zikiwa zimefwatana. Championships zenyewe zilikuwa kwa hii uwanjo inajiita – at Sochi Autodrom.

Lewis Hamilton ni boy kutoka husuko Brito na alikuwa anagurumisha sido. Wa seko naye alikuwa team mate wake Nico Rosenberg. Prako ya fao tunacheki ni Rosenberg aliweza ku win. Lewis Hamilton alishinda na laps chwani na tatu na speed ya 1:31:50.744 akiwa na points blue na ngovo.

Alafu Noco Rosenberg na yeseye akiwa wa seko, 53 laps 13.6s, baada ya Hamilton kumada. Wa thado naye alikuwa Valtteri Bottas akiwa anagurumisha sido inajiita Williams. Valtteri Bottas ndiye msee alikuwa anakeep up na Hamilton, lakini alisleki kiasi, alafu Rosenberg aliweza kuongeza mbio na kumvuka hadi position ya seko, ikabaki amemada akiwa wa thado.

Sasa sido imewai point 43 na hii ikiwa championship yao ya kinde na tatu kuget kwa hii season kukwachu Formula One Constructors World Championship Crown, kuendea Stuttgart manufacturer.  Link ucheki results...

Related Stories