F1 husuko Russia

October 10 2014 12:37pm     0 1636

Photo Credit:Fomula 1.com   Tingua risto

Formula 1 zikiwa zinazidi husuko Russia tunacheki Nico Rosenberg, ndiye ameweza vuka na mbana ya fao akiwa anagurumisha sido na dakika 1.311s. Waseko akiwa Lewis Hemilton pia yeseye akigurumisha sido na dakika 1.376s difference ya 0.065s, pia yeseye ni noma juu kwa P1 yeseye ndiye alikuwa analead.

Wa dhado na yeseye akiwa Jensen Button, akidrive McLaren na dakika 1.42.507s. Kumbuka Jensen ndiye alikuwa analead kwa dakika salasa za fao kabla jeshi ya sido kuimprove. Fernando Alonso, akiwa wa fotho na dakika 1.42.720s akiwa juu ya Ferrari, akifwatiwa na Kevin Magnussen akiwa juu ya McLaren msee wa seko na dakika 1.43s bracket.

Wa sixth akiwa Sergio Perez, kama anagurumisha Forced India-Mercedes na dakika 1.43.129s, wa saba akiwa Daniil Kvyat, na STR-Renault na dakika 1.43.164s. Wa eighth akiwa Kimi Raikkonen, juu ya Ferrari na dakika 1.43.212, msee muinengi anatumia STR-Renault Jean-Erick Verge akiwa watisa na 1.43.327. Wa kinde akiwa Valtteri Bottas, akiwa juu ya Williams-Mercedes akamada na 1.43.542. Results zingine ziko hasapa.

Related Stories