Mvua zingine kadhaa za kurecover

October 24 2014 11:41am     0 946

Photo Credit:AGENCE FRANCE PRESSE   Tingua risto

Tangu apate aksi last year dise, bado yuko under treatment aweze ku recover, huyu ni dere wa F1 Michael Schumacher. Kulingana na doki wake Jean-Francois Payen, anadaisha Schumacher bado ana need mvua zingine mbekses ama tatu ndio aweze kurecover vipoa.

Payen ame prais wife ya Shumacher tusana, akisema amekuwa wa help sodi sana hadi venye ame notice progress kwake dere wa F1. Amekuwa ina a coma kwa miezi sita, but saa hii amerauka na yuko mtaani kwake husuko Gland in Switzerland. Ata hivyo bado Payen huishia kumlola akiwa mtaani ama hosi nifla iko hasapo karibu. After kumchecki lazima amshow wife na watoi wa Schumacher zile progress ameyebi.

Related Stories