Ata kama ni kujichukia

October 31 2014 8:31am     0 982

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ni kawa kupatana na wasee wanatamani kukaa ama kukuwa kama ma-celeb. Na kuna wale ata hujaribu kucladi, kubonga na kujibeba kama hao ma-celeb, lakini kuna wale huenda to extremes na kufanyiwa surgery ndio wabadilishe kabisa sura na mwili hadi wafanane venye wanadhani ni visupuu.

Sa kuna mbuus mjamo aligundua anataka sana kukuwa kama msanii, femcee Nicki Minaj. Lakini ilihappen baada ameenda kung’olewa jino, ndio akaanza kusumbua hubby wa kwake akidai anataka kukuwa Nicki Minaj.

Ata akiwa hawezi bonga fiti, bado alikazana kuzusha akidai alitarajia akirauka kutoka kwa hiyo oral surgery, angekuwa amebadilika. Kile ilibamba ata zaidi ni vile alisema, ‘And I’m still white’. Kitu ilijazz Nicki mwenyewe hadi akatweet hiyo risto baada ya kucheki videsa ya huyu Jayci Stevens.

Related Stories