Mambuus vs Mandevu

November 11 2014 12:25pm     0 700

Photo Credit:thefrisky   Tingua risto

Mbona madem husumbuka sana na machali wale hawajashave? Si nilidhani njaro ya kukuwa mwanamume ni kupitia mandevu zake? Sa usione zile reasons wanatolesha wakidinda kucheki hizi natural looks za majamaa. Lakini atleast kuna wale wamekuwa wakipigia support na pia hao tutadandia sababu zenye wanapeana.

Kwa wale wanashukishiwa na mandevu, wanadai kuna venye hukatsia kuwai mamunju kifreestyle. Labda ni juu hizo manywele huwadunga dunga. Lakini watakuaje na beef hadi na moustache? Ama ata heri wachague jamo, kati ya beard na moustache kubaki basi.

Eti msee akona mandevu hufanana na anke ule mcreepy. Aje sasa? Kama kuna kitu inafanga majamaa kukuwa more sexy ni mandevu. Ata kuna madranya watapigia hii risto debe kuruka. Juu wakicheki mboiyz akona kibush wanadunda wakimtamani. Cheki kwanza venye ma-celeb hurock hiyo look. Inakuanga Mo’faya, inabaki wamekinda waks zao kwa wingi juu ya kugrow mandevu tu.

Sana sana mambuus watajitetea eti wakicheki mandevu, watafikiria huyo msee ni mzae. Ambapo heri mudhii kukuwa clean shaven, juu zaidi ya kukaa young, pia atakuwa amejimaintain fiti na well groomed. Hii debate ikiendelea, better kuyebi mbisha zinaweza badilisha views zako kuhusu mandevu. Kumbe zinaweza ingiza game ya ulovito to the next level. Hanaku njaro ya kuhepa hii sexiness.

Related Stories