Venye kudeal na wagondi

December 16 2014 4:19pm     1 216

Photo Credit:Google   Tingua risto

Vile krisi inamuja, crime rates za kila place hupanda. Nikidhani ni juu wasee wengi huchagua mwisho wa mwaka kuwai burungo wamekuwa wakitamani kuboti. Alafu tukienda majuu, raiya hukuwa wanaboti maprezo za kuwai mabeshte na famo. Sa kunawanga na delivery kibao ya packages kwa majakes za wadhii.

Kumbe kunawanga na wasee wanagonja tu hizo packages zikiwa delivered kwa mgola na kugosa, labda kuenda kukinda ama kujisaidia nazo. Kuna couple jamo kutoka husuko DC, after kugoswa  mara tatu, walichoka na kuamua kutake action.

Sa waliamua kuwachia huyo dingo prezo ya maana zaidi. Waliamua kuchukua shonde za wagido yao na kujaza box, alafu wakaiweka ikae kama package. Dingo mwenyewe hakudisappoint, juu alimuja na kukwachu ile box.

This round waliget sura ye poa, kwa kamenje  na wakatumia videsa kwa YouTube alafu pia wakashtua makarao ndio wasake huyo thegi. Ebu imagine ile shock dingo aliget venye alitingua hiyo package!

 

Related Stories