Maodijo wanatishia strike tena

December 28 2014 10:07pm     0 345

Photo Credit:Google   Tingua risto

Imekuwa kawa kila mvua maodijo kutia zii waks na this round wanadai wako serious zaidi. Machuo zikiwa zinafaa kutinguliwa 5th Jan 2015, itakuwa pia tarehe yenye watakausha kufika kwa madaro.

Kenya Union of Teachers (KNUT) wanadai gava imekuwa ikiwaweka chini sana. Na hanaku promises wataskiza hadi wapate ile mkwanja wanadaisha. Inakaa mastiude wataumia ata kuliko hizo raundi za fao.

Enyewe sio poa kurisk education ya waniaju lakini pia gava ikona games kudinda kuwai maodijo salo fiti. Kumaanisha leaders wetu was hoke watakuwa less educated na itakuwa blanda kwa nchi nzima. Kwa sababu economy pia itashuka na itakuwa hustle kuwai basic needs bana.

Ata hivyo results za KCPE zilitokelezea Ndeima ya 29th Dec na hanaku rankings zilitoleshwa. Eti kutangaza rankings ilikuwa inafanya kunakuwa na compe unfair na itabidi candidates kutuma SMS ya kuulizia results zao kwa hisihi mbana ya nangos; 22252. 

Related Stories