Mastiude bado wako mtaani

January 5 2015 11:30am     0 332

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ngori ya maodijo kudai strike imetake siku baada ya machuo kudinda kutingua Ndeima ya 5th Jan 2015. Inakaa itakuwa mvua inengi ya kudelay calendar ya machuo. Alafu ile blanda bwaku zaidi ni vile ata haijulikani itakatika lini.

Mapero wataumia sana juu waniaju wao bado wamebaki mtaani wakiwa bila copy ya chenye kuduu. Ata baada ya Teachers service Commission (TSC) kulazimisha maodijo wa public seko na prima, kurudi waks, hanaku mwenye alifika daro.

Kumbe union KNUT na KUPPET zilikuwa zishaamua watahold strike ya siku saba juu mradi yao ya kuongezewa mshande iligonga ukuta. Sa hadi gava ifanye mambo, education ya mastiude wa 254 itabaki ikiwa kwa noma.

Related Stories