Kujaribu kukiche Abortion

October 8 2012 4:31pm     0 1939

Photo Credit:Salon   Tingua risto

Risto za abortion ni kiasi sensitive na wathii wengine, kwa wengine, ni risto ya kawa, haileti njeve hata kidogo. Lakini ni real tunafaa tukiche sana na tuibonge.
Kuna wasupa wengi sana wanamanyuria wakitry kuchuja ball kwa madoki imbo wa ma backstreet, from madem wapienga to wathama. Kila dem ana reason yake ya kutaka kuchuja ball lakini ka inafanywa na rende bigi hivi, ni poa kuifanya place safe bila kuweka life ya dem in danger.
Kuna hii study wasomi nifla wamedo kuhusu ma Abortion...Unaona dawa yake ni asaje?

Related Stories