South Africa na Ghana zikadoze

January 20 2015 9:45am     0 1731

Photo Credit:Supersport   Tingua risto

Jana date 19th Jan 2015, palikuwa na mechi kadhaa zenye zilikuwa zinaguswa husuko Equatorial Guinea, place AFCON inaguswa.

Game za jana zilikuwa kati ya Algeria vs South Africa, na Algeria iliweza tinga South Africa dude tatu kwa jamo. S.A ndio walitangulia kutinga, baadaye kiasi, Algeria wakamanage kuequalize. Dude za Algeria zilitingwa na Islam Slimani, Faouzi Ghoulam and the dude ya tatu S.A walijitinga kupitia Thulani Hlatshwayo.

Dude ya S.A iliwekwa ndani na Thuso Phala, ikiwa dude ya fao kwa hiyo mechi. S.A wangeget dude mob but waliwaste chances fogo sana. South Africa na Algeria wako Group C pamoja na Ghana na Senegal hii ikiwa group noma sana kwa tona.

Mechi nyingine yenye ilichezwa jana ni kati ya Ghana na Senegal,na tunacheki Ghana walinyukwa dude mbili kwa jamo. Ghana ilitangulia kutinga kupitia Andrew Ayew kupitia pena, dakika ya 13 half ya fao. And then Senegal kwa dakika ya 57th wakaweza pata dude kupitia Mame Biram Diouf.

Alafu mechi ikiwa just about ku katika Moussa Sow, akaweza sawazishia Senegal na dude ya seko, na full time game ikabaki imekatika ikiwa Ghana 1- Senegal -2.

Related Stories