Cote d voire vs Guinea

January 20 2015 2:08pm     0 1468

Photo Credit:CAF.com   Tingua risto

Leo 20th Jan 2015, patakuwa na mechi kati ya Cote d' voire na Guinea. Mechi yenyewe itaguswa hapo magizani gidhaa ya saa jamo.

Game yenyewe itagusiwa hasapo Estadio De Malabo husuko Malabo na match officials watakuwa. Refa: Mehdi Abdi Charef, 1st assistant: Abdelhak Etchiali, alafu assistant wa seko: Yahaya Mahamaud.

Alafu mechi ingine itaguswa leo ni kati ya Mali vs Cameroon idhaa ya saa nne magizani. Game yenyewe itagusiwa hasapo Estadio De Malabo, na refa atakuwa Janny Sikazwe: assistant wa fao: Jerson Emilliano Dos Santos: assistant wa seko: Oamogetse Godisamang.

Related Stories