Update za AFCON 2015 semis

February 4 2015 9:22am     0 1493

Photo Credit:AFCON.com   Tingua risto

Tunacheki Ghana walipenya kwa group of death, haikuwa kazi rahisi baada ya kushindwa kwa mechi yao ya fao against Senegal. Game ya seko wakamochoka na points tatu baada ya kushinga Algeria dude moja mtungi dude ya last minute kupitia, Asamoa Gyan.

Alafu game ya last wakaweza shinda Bafana Bafana, quarter finals nayo wakaweza shinda Guinea na lead ya dude tatu. Equatorial Guinea kama hosts pia nao waliweza penya baada ya kushinda Gabon na dude mbili mtungi, wakaweza penya na Congo wakiwa wasee wa Group A. Na bado wakaweza draw na Congo na Bafana Bafana.

Wakiwa wanagusa quarter finals na Tunisia, refa aliweza peana controversial goal na ndio wakaweza penya hadi semi finals. Quarter finals zingine zitakuwa kati ya Congo na Ivory Coast mechi itaguswa on Weno date 4th 2015. Nayo Game ya Ghana na Equatorial Guinea itachezwa o Friday 5th 2015.

Related Stories