Njaro ya kuwai mamilli

February 6 2015 11:08am     0 252

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ukiwa na dreams za kuomoka siku jamo na kufikia lista ya mamillionares,itabidi umeanza hustle mapema. Ali-Shah Jivraj akiwa na miaka mbaula na saba, akona kampu ya telly imestand husuko UG, ikiwa worth $15M.

Jivraj ndio sonko wa Royal Electronics, na hisihi kampu yake ndio huassemble na kudistribute electronic home appliances. Akona side hustle kwa bizna ya real estate alafu anaseti manufacturing plant ya beha husuko Burundi.

Alizaliwa UG lakini time ya Orezo Idi Amin, famo yao ilichujwa na wakamaha kwa countries za East Africa na UK. Lakini baada ya kumaliza kuchop, aliopt kurudi mtaani na kuinvest, decision jamo smata juu imerudisha mkono na profits mwenda.

Anadai alianza kuhustle akiwa chuo, juu alikuwa anasave mkwanja ya allowance alafu anaboti snacks na kukindia mastiude wenzake. Ata risto ya electronics aliangukia kibahati tu, na hakuachilia hiyo interest alikuwa nayo akiwa mtoi.

Jivraj pia ameweka Sir God mbele na anadai zaidi ya kuwork hard ni poa kukumbuka roots zako. Famo na mabeshte pia hurudi kukupatia support mwenda, kwa hivyo kama umekopa ganji ni heri kurudisha, vile tu ungedo kama ilikuwa loan ya benkiko. Lakini ukipenda chenye unafanya, basi lazima kusucceed.

Related Stories