Hanaku border hawajavuka…

March 4 2015 4:20pm     0 176

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Unaweza yebi mbisha yao na kudhani ni boy band nira. Lakini wanajitambulisha kama wadhii wako gay, wa fao kukuwa na 3way same-sex marriage, dunia nzima. Enyewe ata majina zao ni blanda kama chenye wamedo; ikiwa Joke 29, Bell 21, na Art 26.

Hasawa majamaa watatu kutoka Thailand, waliamua wako ninda ya ulavito mwenda hadi wakamarika siku ya Valz husuko mtaani,Uthai Thani Province. Mbisha zao zimesambaa kwa internet wakishow siku yao ya wedo.

Walikuwa wanadai ilikuwa siku jamo ya furaha kuruka, na walitaka wadhii wengine kuamini, kuelewa na kukubali choice yao. Enyewe kila kitu iko possible kwa hisihi dunia yetu manze. Hanaku reason ya kujifunga tena.

Related Stories