Siku ya kubaki ndedhe…

March 9 2015 11:17am     0 1826

Photo Credit:Google   Tingua risto

Siku hizi wadhii hucelebrate vitu za ajaabu sana. Laki ni bora hanaku noma inatokelezea kwa hizo bash, hatuwezi kuzusha. Sasa hisihi ndeisa imepita, ya 8th March, raiya wa Australia waliamua kutokelezea kwa baro wakiwa ndedhe.

Weather pia iliwakubali, juu sola ilikuwa imewaka kinyama. Alafu walimuja na bike, wakiride kutambua hisihi siku ya World Naked Bike ride. Inafaa kuwa siku ya kuhave peaceful protest ya body positivity, cyclist safety, kutetea environment na kukubali lifestyle tofauti za wadhii.

Wengi wao waliamua kujichora tumessage funny za kubambisha wenye wangekuja kuwayebi. Hisihi ride ilimalo mradi hasapo South Freemantle Beach, kwenye wadhii walienda swimo na pia waliraise mkwanja ya kusaidia wase wakona disorders za kudema.

Ya muhimu kuremember na hii day, ni kwamba kila msee anafaa kujipenda na wasee wengine wanafaa kukubali features tofauti za wasee. Ukuwe fatty ama skinny, mrefu au kafupi, nyeu ama rangi ya thao, haijalishi bora wesewe human.

Related Stories