Dolly ya waniaju wamiro

May 25 2015 3:43pm     0 335

Photo Credit:Buzz Feed   Tingua risto

Iko blanda nifla ninda ya society juu waniaju wanagrow wakiwa wamechanganyikiwa na kukosa kujitambua. Na hii riba inaleta tafash mob sana kwasababu inakatsia venye wadhii hufikiria na hadi decision zao za kimaisha zinakuwa affected.

Miaka mob sahii imekuwa culture ya walami ndio inasambazwa kwa aina zote za media na imebidi wadhii kutamani kubadilika. Inalostisha self-esteem ya wengi na wale wengi wanagrow kama hawajajua kujipenda.

Mkanya mjamo kutoka steto alinotice madaughter wake wameshikwa nah aka kashida na badala ya kuturn hiyo side inengi bila kushughulika, aliamua kuchukulia challenge kibinafsi.

Alianzisha kampu ya kumekisha dolly zinakaa mamiro na hadi ziko na nywele natural jaro inaweza kuoshwa na kusongwa matuta. Aliita tu kama yeseye the Angelica Doll. Sahii waniaju wake wanabambika sana kukuwa na dolly inafanana nao.

Akiwa na hubby wa kwake wanadaisha raiya kuwasaidia kuweza kumekisha dolly kibao ndio ziweze kufikia waniaju wengine mayadi zote. Enyewe ni homu kwa mapero pia, kuweza kutambua mashida watoi wao wanakapitia na kudeal nazo mapema.

Labda angekosa kuskiza daughter wa kwake angegrow na mkwanja yake ya fao angepeleka kuboti products za skin lightening ama manywele imbo na vitu haitaji akifikiria hivyo ndivyo inafaa kuonekana akiwa msupa. 

 

Related Stories