Kuchezea wadhii shafu…

May 25 2015 3:58pm     0 666

Photo Credit:Google   Tingua risto

Vitu zinengi ata ukijionea kwa macho bado utajiget ukikosa kuamini. Manze kuna venye, kumejaa matapee wa aina zote husuku njei. Lakini wale wa kiblanda vimost ni wale wanatumia jina ya JC viuduu.

Inasemekana kuna pasii mjamo kutoka South Africa, mwenye anajiita Prophet Penuel, mwenye anatumia njaro tafash sana ya kuombea wafuasi wake. Aliweza kuvuka border na kushangaza wasee baada ya kuambia congregation yake kuchuja cladi na walale kwa grao.

Husuyu pasii wa End Times Disciples Ministries, alirudi kukanyaga hiyo raiya ilikuwa imelala kwa grao, hadi akiwakalia. Inadaishwa alikuwa anawaaombea lakini wadhii waikenga mbisha za hiyo sermon walizusha wakidaisha hisihi ni ngori kwa risto za human rights.

Mwanzo tangu lini kukaa ndedhee ikawa part ya maombi? 

Related Stories