Waniaju kumadwa juu ya ganji

June 22 2015 3:04pm     0 422

Photo Credit:Google   Tingua risto

Raiya wa UG wamekuwa wakisaka mkwanja kupitia njaro zinengi suspicious sana. Inadaishwa kuna rende ya witch doctors wenye wamekuwa wakigosa waniaju wa wenyewe eti kama ‘sacrifices’.

Kumbe kumekuwa na demand ya hizi services kutoka kwa wadhii wa bizna, wenye wanadaisha kuwai cheddars mbio. Lakini njaro yao ya kusaka hii mkwanja inazidi kuaffect maisha ya waniaju husuko UG.

Wanaendaga wakikidnap watoi matime wanaenda chuo alafu kuwa mutilate, huku wakiharvest body parts za kufanyia uchawi. Mara mob wao huwacha hao watoi wameattack kwa vichaka, ama kwa makeja ziko abandoned.

Ata kama gava imekuwa ikiconduct campaign ya kustopisha hii ngori, lakini imekuwa hard kuget hawa suspects juu ya corruption kwa system. Blanda bwaku ni vile waniaju walisurvive wanakapitia vimajor, juu trauma ya chenye walipitia ni scary kuruka.  

Related Stories