TV Show nira ya mandae…

June 26 2015 9:53pm     1 453

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu Jeremy Clarkson wa Top Gear kukosana na wadhii wa BBC, show yenyewe haijakuwa ikiendelea. Alichujwa baada ya kuchapa producer mjamo ngumi juu ya kukosa kuleta keroma baada ya siku nzima ya waks. Inadaishwa co-hosts wake; Richard Hammond na James May, walidinda kurudi pia.

Sa Jeremy Clarkson ameconfirm wataleta show nira kwa telly. Haijajulikana TV Network niga itawachukua na kushow progi yao. Kuna parasha inadaisha Netfix ndio wanaweza kwachu hiyo position. Hisihi Netflix ni online media-streaming service kutoka Steto na inatambulika juu ya kushow progi mwenda kama House of Cards.

Kumbe BBC waliendelea kusaka team nira ya kuendeleza hiyo progi ya Top Gear, wakiwa wameintro Radio DJ Chris Evans kama replacement wa Clarkson. Lakini kujaza njumu za huyu msee itakuwa hard. Top Gear ilikuwa imeingia kwa Guiness world Record kama the most watched factual  TV program in the world, ikiwa na zaidi ya mita soh tatu na chwani.

Tunangoja sana kuyebi hisiyo progi nira.

Related Stories