Ma mude wa Prisons wame tupwa njei

October 19 2012 12:42am     0 1603

Photo Credit:FIVB   Tingua risto

Ma mude wa Prisons wali tingwa 25-14, 25-17, 25-11 na team nifla ya Turkey yenye inaitwa Fenerbahce.
Ma team zetu za Voli huwa zina chapwa kwa ma tourna but mostly ni juu hatuna professional players. Una pata most of hao ma players wako na waks wana skuma halafu inbetween wana faa kuwa orako. Hawawesmek! Ni time gava na hizo ma sports bodies zimuje na mepu ya kuunda ma teams professional

Related Stories