Kule July ilitoka…

July 2 2015 8:43am     0 315

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inadaishwa mwezi ya July ilitoka kwa jina ya msee. Msee alikuwa hapo zamo na alikuwa anarule empire, njaro hadi sahii anadhaniwa kukuwa mortal.

Alitambulika kama Julius Caesar. Alikuwa Roman General, Statesman na Historian. Aliweza kukwachu by force area sahii zinajulikana kukuwa Italy, France, Belgium na Netherlands. Alirudi akakuwa dictator, akiwa anamada wasee wanadinda kumfwata lakini pia alitambulika juu ya kumekisha calendar venye tunaijua leo.

Bafo wadhii walikuwa wanatumia the Roman Calender, yenye ilikuwa na miezi zinaitwa intercalans zikiwa na days 27 ama 28, zikiwa zinaongezwa kila miaka mbexes baada ya tarehe 23rd Feb. Lakini venye the Julian Calendar ilianza kutumika, kukawa na 365days kwa mwaka, na leap year every 4years.

Sa July iliitwa hivyo kuhonor Julius Caesar. Alafu kwa fact inengi inadaishwa baada yake kumuja ndio kukawa n aristo ya Caesarian Section, hisihi ikiwa njaro ya operation ya kuchuja mtoi kwa uterus by kukata abdomen ya masa. Inadhaniwa yeseye alizaliwa kupitia hii njaro na ndio maana akageiwa hiyo jina.  

Related Stories