Tako kugeuzwa kukuwa madigala!

July 2 2015 10:34am     0 489

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna njaro kibao za kukuwa creative. Sio lazima kukuwa mcoraji ndio upate jina artist. Msanii mjamo kutoka hasapa 254, anashare riba ya venye alitumia vitu zilikuwa karibu na yeye kumekisha digaga zenye zimemfanya akakuwa famous.

Cyrus alikuwa anastay mayadi za Dando, place inatambulika kukuwa na dump site ya Nai. Akiwa kwa famo bwaku lakini yenye imesota, alitaka kumekisha life mwenda in the future. Alitamani kutengeneza stuff kutoka kwa tako. Na budake alimsaidia kutambua talanta yake ya kumekisha madigaga kutoka kwa tako.

Lakini venye aligrow na kuamua kukuwa artist, mapero hawakubambika. Walidhani anawaste time yenye anafaa kukuwa akisaka waks. Alikuwa kichwa ngumu, so akaendelea nah ii janta ya kumekisha art.  Ata akiwa anakaa kama chokosh juu ya venye anaendaga akiokota tako zenye atatumia, huwa hajali.

Ameweza kufanya junk kupata life, na hisihi waks yake imekuja kutambulika dunia nzima. Hadi amekuwa role model kwa wengi wenye wanatamani kufwata hii maisha ya usanii.

Related Stories