Mavako hukuwa bedroom…

July 31 2015 1:26pm     0 614

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tarehe ya 31st July inadaishwa kukuwa siku ya kucelebrate National Orgasm Day. Reason ikiwa eti raiya wote wenye watakuwa wakijipa kwa lungula lakini wafikirie kuhusu Peace.

Sijui njaro hisihi inafaa kuduu waks juu inadaishwa wadhii wengi sana hukuwa wanafake kuget orgasms. Mavako kibao hufanywa na madem, sababu zao zikiwa tofauti sana. Kuna options za zile mara zote mbuus amekuwa akifake orgasm n asana sana itakuwa extended kwa current relationship.

Majamaa wenye huvako kwa bedroom wako kama 10% lakini sababu zao hukuwa juu hawataki kuhurt feelings za mbuus mwenye amekosa game ama walikuwa wachoka viost kutoka kwa janta zao. Lakini hanaku compe kwa wenye wanajua kuvako zaidi.

Iwe real ama fake, cha muhimu ni kufurahia maisha ya amani area yoyote ile. 

Related Stories