Show ya mandae imeback…

August 3 2015 9:52am     0 884

Photo Credit:Google   Tingua risto

Sa kuna good news afadhali tangu Jeremy Clarkson kuzushiana na wadhii wa BBC hadi kufanya yeseye kuchujwa waks. Hisihi vurugu ilisababisha mabeshte na co-hosts wake kwa progi walikuwa wanado ya mandae, kukalia mawe kwa jobless kona.

Hisihi trio ya Top Gear imeback wakiwa wanadaisha show yao sasa itakuwa inapatikana kwa Amazon Prime yenye ni  Instant Video Service. Hapo bafo walikuwa wananego na wasee wa Netflix lakini inakaa waliweza kusign contract mwenda na Amazon.

Bado Jeremy Clarkson, James May na Richard Hammond hawajamuja na jina nira ya hii car show. Lakini wakona tie ya kufikiria juu show yenyewe itaanza next year 2016. Mafans wamengoja kwa hamu kuruka.

Inadaishwa ile side inengi washaget host mnira anaitwa Chris Evans. Lakini tunaomba hawa masafara watoleshe show noma zaidi kama njaro ya kushumekia BBC.

Related Stories