Yebi parking lot ya campo

December 18 2013 2:31pm     0 2067

Photo Credit:Krazy gossip   Tingua risto

Nahusko Dubz kuna campo nifla ina julikana kama American University of Dubai.Hiyo chuo majority ya mastiude wako miaka ka 24/25,lakini jo!uki yebi parking lot unaweza chizi. Zile mandae ziko parking uta get ndae kama Rolls-Royce,Ferrari, Aston Martin na akina Bently.Hizi ni zile ndae una expect kuzi yebi kwa ma filo zile noma noma.Lakini kwa hisihi campo ni ma stiude wakonazo.Ndae kama Range Rover ni gari iko chini tu sana, Inasemekana ni gari ya pesa kidogo.Nashindwa ukiwa na ndae kama hiyo una du nini chuo.

Related Stories