Kupeleka mbuku majuu
October 23 2012 6:15pm
0
2115

Chuo jamo hapa mtaani, imeamua kujiweka juu design ya vungu. Kenyatta University wametingua chuo side za Daadab juu ya wale wathii wako kwa hio refugee camp. Unakenga hio risto kijea?