Panaito ni who?

November 26 2013 11:15am     0 1849

Photo Credit:Heka Heka   Tingua risto

Umekuwa ukiyebi waks yake kwa magazo ama kwa net, yaani mambisha za ma-celeb, lakini sana sana za socialites, na ukazimezea mate vi-major.<br> Ana miaka mbao na tisa tu, James Panaito anajulikana kama Photographer na IT consultant, pia ana kampuni yake imesambaza wera hadi Zambia na Rwanda.<br> Lakini kumbe husuyu boiyz alianzia chini sana! Anadai alijifundisha kumake websites na kutoka paho akaanza hustle mwenda ya kuget hii mkwanja sahii inarain kwake.<br> Risto yake inashow mayut man wako na chance ya kushine na kuomoka in life hata ka umetoka wasapi.<br> Unamesa nani mwingine ako na risto ya success hisivi?

Related Stories