Noma za Roysah!

January 29 2014 11:38am     0 1501

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hii ngware wasee wa Thika Road wameraukia nux juu mathree zilikua zimegoma. Kuzidisha kukawa na traffic jamo mwenda hadi ikabidi mandai zidivertiwe ndio zipitie Northern By-pass. Kiblanda ilitokea juu kange mjamo wa route 44 alimadwa jana usiku na mathegi. Sa makonda wenzake walitoa zogo wakidai karao wanajua ni nani alidedisha huyo mudhii. Mavedi walikua na wera ngumu ya kuchuja hao mavijana, lakini bado riots zilizidi na ikabidi baro ya Kamiti itingwe. Makarao wanadai watasaka wale wasee walidedisha huyo boiyz.

Related Stories