Utaweza kunywes ukedi?

July 3 2014 11:00am     0 2477

Photo Credit:Google   Tingua risto

Survey nifla ilifanywa kwa raiya wa hasapa 254, na ikapatikana majamaa kati ya miaka kinde na ngovo (15) hadi maika 64, hukuwa na masexual partners kadhaa. Risto inafanya vita against ukedi inakuwa hard vimost. Ambapo machali wako at a greater risk kuwai hii virus kuliko madem.

Inasemekana pia ilitambulika eti wasee wamechop na wale washaget janta, wanakuwa enganged in lungula. Na san asana bila kutumia kondiecha, ata wakijua ni dangerous, kuliko wale wadhii hawakufika chuo.

Ile inashangaza zaidi, ni venye wasee wamemarika ndio wako kwa more risk, coz wamejaza maclande kwa maisha zao. Tena wengi hujiingiza kwa lungula bila kujua HIV status ya partners wao. 22.5% ya mambuus na 33.2% machali kwa hizi partnerships, hawajawai tumia CD.

Na bado hatufai kusahau wale wasee hawajawai tae, juu wako mara five at risk kubamba kamdudu kuliko wale washatae. Enyewe wasee wamejiachilia sana siku hizi na wanasahau ukedi bado inadedisha. Hizi taki tunajiwekelea, si worth it manze.

Related Stories