Unaweza tosha mboga?

September 10 2014 10:00am     0 2319

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mdhama nifla, sahii akiwa na miaka hamsa na tatu, alijitokeza akidai venye anapenda kumekisha lists kuhusu mambo anado kwa life yake. Jamo ya lists alichora, ilikuwa details za sex life yakwake. Alidaisha tangu kuvunja uvajo, amekuwa na majamaa soh na arbesa. Na hao wote aliwarate out of ten.

Sa kumbe alikuwa anarate akicheki looks ama uhandi ya msee na duration huyo msee alitake kumsexua. Sijui majamaa wale walitokelezea kwa hiyo list kama walibambika na results. Enyewe kuna vitu wasee hafai kuwa wanasema in public. Lakini unaona kama ungetosha mboga?

Related Stories