Mbuzi pia zinawes mek

November 26 2014 3:09pm     0 1775

Photo Credit:Go Sheng   Tingua risto

Ukipatana na mbuzi, nini hucross mind ya koya? Si utacheki hapo nyagu ya kanyam chom hivi ama kachemsha! Mamboz za kuleta karaha kiasi jo.

Kumbe Photographer Kevin Horan, hukuwa akisaka vitu tofauti. Ama tukisema poa, anaonanga vitu zake. Anadai unafaa kucheki ninda ya the soulful eyes za mbuzi ama kondoshe, ndio uelewe chenye umekuwa ukihata.

Na juu ya hiyo risto, amekuwa akichukua mambisha za mbuzi, zote zikiwa portraits za black & white. Alafu hizo mbisha hurudi kuwekwa kwa New Moon Farm & Goat Sanctuary, place yenye ni NGO ya kurehabilitate animals na kuzisakia permanent homes, husuko Washington.

Kumaanisha soon tutakuwa na mamodels wanira, kwanza kama waks zao zitafika New York. Ukijiskia unaweza ingiza mbuzi yenyu kwa hii mradi, labda inaweza kuomoka pap.  

Related Stories