Maleader wakariadana!

March 11 2015 10:34am     0 210

Photo Credit:Google   Tingua risto

On Tuesday kulikuwa na show down baada ya MCA wa Nax kukamua kuvunjana, vile walikosa kuelewana  wakiwa kwa county assembly . Team mbexes ndio zilikuwa zinakung’utana, ikiwa ya George Mwaura na Samuel Waithuki mwenye alikuwa Majority Leader wa hasapo bafo alafu akakuwa reinstated.

Noma ilikuwa juu inasemekana speaker Susan kihika anafanya udictator hasapo ninda na haiwezi kuwa msee mjamo anawin mara mbexes zikifwatana. Ilibaki speaker amechujwa na wakazuiya asirudi kumekisha ruling yake.

Alafu majamaa wakabaki kushindana nguvu. Lakini ata hivyo bado hakusolve issue yenye ilifanya wakazua zogo. Na inadaishwa biz itaendelea kama kawa, kumaanisha bado Waithuki atarudi kwa offe yak wake. Tena alidai hatagwaya msee wowote, juu hanaku parasha zitafanya atoke kwa hiyo kiti.

Related Stories