Masaibu za kujiletea…

July 13 2015 11:15am     0 589

Photo Credit:Google   Tingua risto

Nini inaweza fanya msee kunyemelea waniaju wa wenyewe? Kuna venye riba kuhusu wadhii kusexua ma underage zimezidi. Labda ni kwasababu society haina shughuli ya kufundishana tabia.

Hisihi riba imeingiza nguna mjamo kwa shida na law baada ya kusexua machali watatu wenye wako underage kutoka kwa seko iko Utah. Brianne Altice akiwa na miaka salasa na kobole, alikuwa odijo wa David High School na inadaishwa amekuwa akidoze na mastiude wake.

Mastiude wenyewe walikuwa kati ya miaka kinde na sita na miaka kinde na saba. Inadaishwa sentence yake imewekwa kwa miaka salasa ninda neti, juu aliendeleza lungula na mjamo wa hao mamboiys akiwa bado anachill trial.

Jajiko alikuwa amekatsika kuruka na hiyo risto hadi hakutaka kuskia excuse ya lawyer wake, mwenye alidai eti hao mastiude ndio walisaka odijo wao kuwai lungula alafu pia aliingia box juu akona low self-esteem.  

Ata kama alikuwa anakapitia, sa amechujwa waks kama odijo, hubby wa kwake amefile for divorce na custody ya mniaju wao alafu atafungwa miaka salasa bila bail. Sema kujiwaste!

Related Stories